No new announcemente


Forum Announcement: SHERIA ZA TUZUNGUMZEFORUMS
SHERIA ZA TUZUNGUMZEFORUMS

  • TUZUNGUMZE ni jukwaa huru, ambapo kila mwanachama ana uhuru wa kushea mawazo yake kwa wengine bila kipingamizi. pasipo kuvunja sheria hizi;
  1. Ni marufuku kutuma au ku share kwa namna yoyote picha zisizo na maadili(picha za utupu).
  2. Hairuhusiwi kuanzisha mijadala ya kichochezi, iwe ya kisiasa au kijamii.
  3. Matusi, kejeri na dharau haziruhusiwi kwa namna yoyote, ikiwemo na majina yenye heshima yatumike (yaani majina yanayo ashiria matusi, sehem za siri na ya namna hiyo hayatakiwi jukwaani)
  4. Bila ushahidi, hauto ruhusiwa kushutumu au kuleta jumbe za kumshambulia mtu yoyote katika tuzungumze.
  5. Maongezi ya pivate hayatoruhusiwa kuweka katika jukwaa lolote.
  • Mwanachama yoyote anaruhusiwa kuripoti papo hapo endapo itatokea uvunjifu wa sheria hizo juu, na hatua za adhabu juu huyo mtu zitachukuliwa kulingana na kosa lililofanya, adhabu ni BAN ama kufutwa uanachama itakapobidi.