No new announcemente


  AJIVUA UWAZIRI NA KUGEUKIA MUZIKI
User Avatar Forum: jukwaa la siasa
Posted by: mwanduga - 04-15-2018, 05:01 PM - Replies (1)

AJIVUA UWAZIRI NA KUGEUKIA MUZIKI WA REGGAE!!

Wabishi wanazidi kupukutika tu kwenye serikali za Afrika.
Baada ya aliekuwa waziri wa maji na umwagiliaji kwenye serikali ya bishoo Salva Kiir wa Jamhuri ya Sudan Kusini.
Mbishi wao Mabior Garang, kujivua uwaziri kisha kuachana kabisa na siasa baada ya kuchoshwa na kile kinachosemekana kutokubaliana na namna bishoo Salva Kiir anavyoiendesha nchi hasa kwa siasa zake zenye mlengo wa umwagaji damu!!

Mbishi Mobior Garang, ambae alikuwa ni miongoni mwa viongozi mashuhuri waAfrika waliotimba bongo kumpongeza mbishi namba moja Afrika pombeman TALANTA Kide.

Ameamua kugeukia kwenye music wa hisia Kali yaani reggae!!
Na hivi tunavyoongea, tayari ameingia kwenye moja kati ya studio maarufu Jijini Stoke huko nchini Uingereza, kuipua album yake ya kwanza ya reggae, mziki aupendao tangu akiwa mtoto mdogo!!

Album yake hiyo ameipa jina la ( WE LET IT FIRE ' EM )!! Amesema pia, katikati ya mwezi huu, ataachia single ambayo amemshirikisha nguli Alfa Blondy!!
Hata hivyo, mbishi Mobior Garang alipata wakati mgumu mno kutoka kwa wafuasi wake ambao walikataa katakata, uamuzi wake wa kujivua na ubunge, jambo ambalo lilimfanya abadili uamuzi na kubakia na cheo chake cha ubunge!!

Saluti kwako mbishi wetu, tunaisubiria kwa hamu album yako!!
( Walaitta Dicha, Dicha sodo Dicha seeeeshaaaaaa!! )            

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  NAULI MPYA ZA KUTOKA DAR KWENDA MIKOANI
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 01:25 PM - No Replies

NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.

DAR - ARUSHA = Basi la kawaida 22,700/=, Semi luxury bus 32,800/=, Luxury bus 36,000/=

DAR - BABATI via ARUSHA = Basi la kawaida 29,000/=, Semi luxury bus 41,800/=, Luxury bus 45,900/=

DAR - BUKOBA via DODOMA = Basi la kawaida 55,100/=, Semi luxury bus 77,300/=, Luxury bus 85,000/=

DAR - DODOMA = Basi la kawaida 16,700, Semi luxury bus 24,100/=, Luxury bus 26,400/=

DAR - IRINGA = Basi la kawaida 18,300/=, Semi luxury bus 26,300/=, Luxury bus 28,900/=

DAR - KIGOMA = Basi la kawaida 58,800/= Semi luxury bus 80,900/=, Luxury bus 88,900/=

DAR - LINDI = Basi la kawaida 17,800/= Semi luxury bus 24,400/=, Luxury bus 26,800/=

DAR - MBEYA = Basi la kawaida Basi la kawaida 30,700/=, Semi luxury bus 44,300/=, Luxury bus 48,700/=

DAR - MOROGORO = Basi la kawaida 7,100/=, Semi luxury bus 10,300/=, Luxury bus 11,300/=

DAR - MOSHI = Basi la kawaida 19,800/=, Semi luxury bus 28,500/=, Luxury bus 31,300

DAR - MTWARA = Basi la kawaida 21,500/=, Semi luxury bus 29,700/=, Luxury bus 32,600/=

DAR - MUSOMA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 50,800/=, Semi luxury bus 73,200/=, Luxury bus 80,500/=

DAR - MWANZA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 42,600/=, Semi luxury bus 61,400/=, Luxury bus 67,500/=

DAR - SHINYANGA = Basi la kawaida 36,600/=, Semi luxury bus 52,700/= Luxury bus 57,900/=

DAR - SINGIDA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 25,500/=, Semi luxury bus 36,800/=, Luxury bus 40,400/=

DAR - SONGEA = Basi la kawaida 35,000/=, Semi luxury bus 50,600/=, Luxury bus 55,500/=

DAR - SUMBAWANGA = Basi la kawaida 45,100/=, Semi luxury bus 62,100/=, Luxury bus 68,200/=

DAR - TABORA = Basi la kawaida 39,000/=, Semi luxury bus 54,700/=, Luxury bus 60,100/=

DAR - TANGA = Basi la kawaida 12,800/=, Semi luxury bus 18,500/=, Luxury bus 20,300/=

DAR - KIBAHA = Basi la kawaida 1000/=, Semi luxury bus 1,500, Luxury bus 1,600/=[Image: 405d8953c6563078a119087b6a9b86ee.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  ALI KIBA KUOA USIKU WA LEO(JANA)
User Avatar Forum: Burudani
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 01:20 PM - Replies (1)

Msanii wa muziki Bongo, Alikiba anatarajia kuoa usiku wa leo.

Kwa muijibu wa Pilipili FM, Alikiba anafunga ndoa na mpenzi wake, Aminah Rikesh, Mombasa nchini Kenya.

Mama wa Bibi Harusi amesema; “Tunasherekea harusi ya mtoto wangu anaolewa na Alikiba, tunashukuru Mwenyenzi Mungu atupe furaha, anayepanga ni yeye hakuna anayeweza kupangua hata kama Alikiba ametoka TZ lakini Mungu ndiye ameshapanga”.

Licha ya wawili hao kufanya siri mahusiano yao hadi kufikia hatua ya kuoana, taarifa za ndani zinadai kuwa Alikiba na Aminah wameanza kuwa pamoja tangu mwaka 2016[Image: 595cbf712fe31efbde1c1fb0f51d5791.jpg][Image: 93c1715c9cfb3c58299506ac7ff012b6.jpg][Image: 479af5735787678076cb5366f058de18.jpg][Image: 26b7feff65e6b759fee528b0044ebe8f.jpg][Image: d3bdb24a784680ee53c25f1b29e8afd2.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  AKUTWA PORINI AKIFANYA MAPENZI NA BIBI WA MIAKA 68
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 01:12 PM - Replies (3)

Kijana wa miaka 20 huko Ruvuma amekutwa porini akifanya mpenzi na bibi wa miaka 68.

Kijana alipoulizwa kwanini anafanya kitendo hicho, kasema bibi ndiye aliyemlazimisha.[Image: 63123a799e22227f951b020c63de3a27.jpg][Image: 7d507f267b9bfe81d17ebcfffb3d8a78.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  JOSE CHAMELEONE APATA MTOTO WA 6
User Avatar Forum: Burudani
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 01:07 PM - No Replies

Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone amepata mtoto wa kike ambaye amepewa jina la Xasa. Msanii Hugo Sasa amefikisha watoto sita.[Image: 5162e6847330b1082f4a67f565e2e130.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  ZARI ANUNULIWA PETE YA DHAHABU
User Avatar Forum: Burudani
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 01:02 PM - No Replies

Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Rington ameendelea na dhamira yake ya kumuoa Zarinah Hassan "Zari the boss lady" hii ni baada ya msanii huyo kununua pete ya dhahabu yenye thamani ya shilingi 800,000 kwa ajili ya Zari.[Image: f716a0c1800df03e7de0b799bdae16b1.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  WAKAMATWA KWA KUCHOCHEA MAANDANO
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:57 PM - Replies (1)

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linawashikilia wanafunzi 9 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris na Daktari wa Hospitali ya Mission Nanyamba, wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii ikiwamo #WhatsApp na #Telegram kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuhamasisha maandamano yasiyo na kibali Aprili 26, mwaka huu.

"Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa watu kujiepusha kutumia mitandao ya kijamii vibaya na kusababisha uvunjifu wa sheria za nchi," alisema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Lucas Mkondya.[Image: 3871c63ebe62d272af7cc3e14e5324f2.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  WALIOFELI SEKONDARI KENYA WAUNGANA
User Avatar Forum: East Africans news and current eventss
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:54 PM - No Replies

Waliofeli mtihani wa elimu ya sekondari nchini #Kenya (waliopata alama E) wameunda umoja wao, kwa lengo la kuonesha kuwa, kufeli shule sio mwisho wa maisha.

Umoja huo unalengo la kuwatia moyo wale waliofeli na kuwaonesha fursa nyingine zitakazowasaidia wafanikiwe[Image: 02853c5f0d3e2eff806345eb78eda9b7.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  TLS YAFANYA UCHAGUZI
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:48 PM - Replies (2)

Wanachama wa chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) leo wanapiga kura jijini Arusha kuchagua viongozi watakaowaongoza kwa kipindi cha mwaka mmoja. Rais wa sasa ni Tundu Lissu.[Image: 0ba42edfef8667a4a2e95915ea9b304c.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  BASHE
User Avatar Forum: jukwaa la siasa
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:44 PM - Replies (1)

“Tunaweza tukanunua ndege, tunaweza tukajenga barabara lakini kama kero zinazohusu maisha ya watu ya kila siku hatutokuwa wakali kuitaka Serikali ichukue hatua za mapema sisi ndio tutaenda kunyooshewa vidole. Leo kule kwenye Halmashauri kila mtu ni mbabe, mtu ana kabishara ka laki tano anapigwa faini ya Milioni mbili, hii sio sawa.” –Hussein Bashe

Toa maoni yako[Image: 48d5bd3b71f28f337e67bcb11795dce2.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item