No new announcemente


  LUSINDE ASEMA
User Avatar Forum: jukwaa la siasa
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:40 PM - Replies (1)

"Ndugu zangu muelewe tu ile michango mlioitoa wakati wa chama kimoja kuijenga CCM mkitaka kuifaidi rudini CCM ili muweze kufaidi vizuri na hata katika utaratibu wa harusi tu michango ya harusi inaishia mlangoni hauingii chumbani kwa maharusi kwa sababu ya mchango uliotoa" Lusinde[Image: 6a3757770c113d810e2afba2d92d8069.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  WAZAZI WAWILI
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:35 PM - Replies (2)

Wazazi wawili wana uwezo wa kulea watoto 8 na kuwasomesha, ila cha ajabu watoto hao 8 hawawezi kabisa kuwasaidia wazazi wao 2 pindi wakiwa wazee.

Kama kwenu kuna tatizo hili Sasa chukua hatua kuliondoa kwa kuwaita nduguzo na kuwaambia wanna wajibu was kuwatunza wazazi kwa kidogo hicho waipatacho kuliko kuwaacha tu wanahangaika na kuombaomba. Mkichanga hata 20,0000 kila mwezi mtapata 160,000 ambao zinaweza kuwakimu kwa chakula kuliko kukosa kabisa.

Unakuta wazee wana watoto wenye vipato vizuri tu ambavyo wangeweza kuvitumia pia katika kuwasaidia wazazi wao ila wanawaacha wakiteseka na hata kukaa katika nyumba chakavu za miaka 20 iliyopita ambazo hata kukaa mbwa haistahili.

Badirika chukua hatua, kumbuka wazazi ni waumbaji wa pili.[Image: 6d46dbe9a515e756e87bed8c9b5f7694.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  MAREKANI YAANZA KUSHAMBULIA SRIA
User Avatar Forum: International forums
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:29 PM - No Replies

Marekani imeanza mashambulizi dhidi ya Syria katika mji mkuu wa Damascus kabla siku ya jumamosi ambapo milio mikali yenye miale miekundu ya mabomu ilionekana katika anga.

Milio ya sauti za milipuko ilisikika katika mji mkuu huo katika maeneo yote, huku majeshi ya anga yaSyria nayo yakionekana kurusha makombora yake kutokea mlima Qasion, ambao unatazamamana na mji mkuu wa Damascus.

Mwenyekiti wa umoja wa wanadhimu wakuu wa majeshi ya marekani Joseph Dunford jana ijuma alisema mashambulizi hayo yanalenga maeneo kadha ya nchini Syria ikiwemo kituo cha utafiti , ghala la silaha za kikemikali na vituo vingine vya kuhifadhia silaha.

Katika hatua nyingine, kituo cha televisheni cha Syria kimetangaza kuwa majeshi ya anga ya Syria yanajibu mashambulizi ya majeshi ya pamoja ya Marekani, Ufarasna na Uingereza.[Image: 5379898695e5961f8fb085732bac1569.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  MSANII YOUNG GHOST ASEMA
User Avatar Forum: Burudani
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:22 PM - Replies (1)

Mwanamuziki asie ishiwa kiki Young ghost amefunguka na kuelezea video ya utupu ya bilnass na mwenzie nandy kuwa haina maadili na wanafaa wahukumiwe hata maisha jela.

Msanii huyo pia amemuomba msanii bilnass asije akamsalimia kwa kumpa mkono kwani bado ana uchafu wa nandy.

Kwa jinsi bilnass alivyokuwa akimchezea nandy vile akha mungu asije akanisalimia kwa kunipa mikono na pia nafikiri serikali haitaweza kukaa kimya kuhusu swala hili.

Pia young ghost alipoulizwa kuhusu ukimya wake muda mrefu amedai mashabiki wake wakae mkao wa kula muda sio mrefu atadondosha nyimbo ambayo amedai itakuja kutingisha taifa[Image: 4aefbf1395560c554edec5d848e55e4a.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  MAMLAKA YA BANDARI KULASIMISHA BANDARI BUBU
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:15 PM - No Replies

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inajipanga kurasimisha bandari zote zisizo rasmi (bubu) ili zitambulike rasmi na kuchangia uchumi wa nchi sambamba na kupunguza matukio ya uhalifu.

Akizungumza katika mkutano wa wadau wa bandari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko alisema baadhi ya bandari hizo zimekuwa ni chanzo cha biashara ya dawa za kulevya na biashara za magendo. “Kwa mujibu wa sheria ya sasa ya bandari, moja ya majukumu ya TPA ni kushirikiana na wawekezaji binafsi au wa umma kuweza kuendesha bandari kwa niaba ya serikali... ukishaita bandari hata kama ni ya uvuvi au utalii ni lazima TPA iwepo kwa kuwa yenyewe ndiyo inaangalia ulinzi na usalama kwa niaba ya serikali,” alisema Kakoko.

Aliongeza, “TPA pia ina jukumu la kuangalia suala la afya katika bandari hizo, lakini kwa sasa zipo bandari ambazo hazina maliwato... tunazo ambazo moto ukizuka watu wote watateketea, hivyo ni wajibu wa TPA kuweka uwanja ambao unafuata taratibu na sheria kwa mtu yeyote anayetaka kuendesha bandari mahali popote. Hatutamuondoa mtu yeyote aliyejenga kama wengine wanavyodhani.”

Alisema utaratibu huo pia utawezesha mamlaka zingine ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kukusanya mapato kwa kuwa ni vigumu kwa sasa TRA kwenda mahali ambako bandari haijafafanuliwa au kwenda kwa watu binafsi, hivyo TPA itatengeneza utaratibu utakaorahisisha kukusanya mapato.

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye alisema serikali itaendelea kuiunga mkono TPA na kuhakikisha Bandari ya Dar es Salaam inafanyiwa maboresho makubwa ili kuhakikisha inazihudumia kwa ufanisi, nchi nane zinazoizunguka Tanzania. Alisema katika jitihada hizo za kuboresha bandari, serikali imetenga Dola za Marekani milioni 400 kwa ajili ya kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ikiwemo kufanya upanuzi na kuongeza kina cha maji ili kuwezesha meli kubwa kuingia nchini na kukuza uchumi wa nchi.[Image: 3cc4940c512a8acdc6f2a0de4a6738be.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  MLINDA AMANI ATEKWA
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: mwanduga - 04-14-2018, 12:06 PM - Replies (3)

Mlinda amani wa UN kutoka Tanzania Private Mohamed Haji Ali alitekwa nyara tarehe 7 Dec 2017 na kikundi cha #ADF huko #Beni DRC.

Hadi Sasa hajapatikana na hakuna fununu zozote kumhusu.

Yeyote mwenye taarifa kuhusu alipo awasiliane na @MONUSCO +243997068710

Share[Image: 433ecf2e209b46cfb917529468f463e8.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk

Print this item

  basically life is pornography!!
User Avatar Forum: Ubuyu mpya mjini
Posted by: Singa1 - 04-12-2018, 01:17 AM - No Replies

Virginity is like a balloon one prick and its gone for ever. Sex is like a pack of chips once you start yuh can't stop. Exam paper is like a dick, when it gets hard u are fucked. Education is like a prostitute it needs both ur money and ur hard work. Success is like masturbating, only ur own hand can let u achieve it. So basically life is pornography!!

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk

Print this item

  COMMON INTERVIEW QUESTIONS
User Avatar Forum: Jukwaa la lugha
Posted by: Singa1 - 04-12-2018, 01:13 AM - No Replies

1. Tell us about yourself?
The interviewer is not interested in
hearing stories; they simply expect to
know your academic and professional
achievements, your name and the
institution you currently work for.

Take three minutes to introduce
yourself, and state your recent
academic qualification and your
relevant experience.

2. Why do you think you are the best
candidate?
The recruiter expects you to tell them
about your professional achievements
and the unique skills you possess that
will add value to the organization.

If you are a Customer Care person
then you should tell them that you are
a good listener and patient; these are
the qualities the employer is looking
for.

3. What are your weaknesses?
The question is not simple as it looks;
most candidates go blank when they
face this kind of question.

Take your time in explaining why you
can’t leave the office before you
complete a task.

You can also inform them how you are
quick to trust a person, which in most
cases makes you a victim.

4. Where do you see yourself in five
years?
The employer wants to know whether
you are ambitious or you’re the kind
of a person who secures a job and
then you forget about yourself.

Answer the question by stating how
you intend to further your studies and
grow professionally as you strive to
meet your employer’s goals.

5. How do friends describe you?
The question is testing your personal
attributes, when answering it ensure
that you don’t over exaggerate.

Take the shortest time possible to
state the best attribute you possess
that you believe will add value to the
institution.

6. What do you know about this
company?
Before you enter the interview room,
ensure that you go through the
company website to read latest news,
company profile, goals, management
team, objectives, vision and
mission;they will help you answer this
question.

The question expects you to briefly
describe what you read on their
website and not what you imagine of
the company.

7. Do you have any question to ask the
panel?
This is usually the last question that
the interview panel asks
interviewees; if you fail to ask them
questions, you will lose some marks.

Ask them whether they have plans to
expand their business, whether they
support employees to further their
studies and how they motivate employees.

8. What is your salary expectation?
The question is tricky because as a
fresh candidate you don’t have a clue
what to be paid;simply ask them what they pay others of your level , if they fail to give a satisfactory answer then give them a reasonable range.

Ensure you do your research before
you go for an interview because you
will be asked most of these questions.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk

Print this item

  Processor ni nini?
User Avatar Forum: Technology
Posted by: Singa1 - 04-10-2018, 04:49 PM - No Replies

Hapa naomba kuzungumzia processor za simu. Kwa hapa ki Tz Tz watu wengi sana hatuna uelewa kuhusiana na kitu kinaitwa processor na wengi tumekuwa tukinunua simu bila ya kuangalia uwezo wa processor yake badala yake tunaangalia mambo mengne tu kama vile uwezo wa battery na uwezo wa kamera.

Processor ni nini sasa?

Processor ni kifaa ambacho ni muhimu sana kwenye simu yako kwa lugha nyingne rahisi naweza kusema processor ndio ubongo wa simu yako (kila mmoja nadhan anajuwa maan Ya ubongo bhana).

Kazi yake ni nini?
Kazi ya processor katika simu yako ni kukuwezesha wewe kufanya mambo mbalimbali katika simu yako kama vile kucheza games, ku play music, kungia facebook n.k

Sasa tuangalie aina za processor zinazopatikana kwenye simu zetu( smart phone )
Kuna aina tatu za processor ambazo ni Dual core, Quad core na Octa core.

Hebu tuziangalie moja moja inakuwaje kuwaje yani mana najuwa bado kuna raia nimemwacha dailema

1. Dual core
Processor za namna hii huwa na nguvu mara mbili ya kiwango kilichowekwa. Kwa mfano kama processor ya simu yako inauwezo wa 1.3GHz na kwakuwa ni Dual core basi processor hii itakuwa na uwezo mara mbili yaaani itakuwa 2.6GHz.
Kwa dunia ya sasa processor za namna hii ni processor hafifu saaana hupatikana kwenye cm zile za zamani zamani kdg na hata ukiangalia uwezo wa RAM wa kwenye simu zenye processor za namna hii basi itakuta ka RAM kadogo sana mfano Samsung galaxy s2.


2. Quad core
Processor za namna hii huwa na nguvu mara nne ya uwezo uwezo iliyowekewa.yan kwa lugha nyingine processor hizi zimegawanyika mara nne kwenye processor moja ambapo huweza kutowa nguvu mara nne zaidi, nitoe mfano processor yako ina 1.2GHz kwakuwa ni Quad core basi ni sawa na kusema processor yako inauwezo wa 4.8Ghz. Processor za namna hii zina nguvu tofauti na za Dual core ambapo ndo hizi tunazotumia wengi wetu kwenye hizi simu zetu za sasa mfano Samsung galaxy j5, iphone 7+, Tecno Camon c7 n.k

3. Octa core
Processor za namna hii huwa na nguvu mara nane ya kiwango kilichowekwa yaani processor zanamna hii huwa na core nane ndani ya processor moja. Kwa mfano kama simu yako ina uwezo wa 1.2GHz na kwakuwa ni Octa core basi ni sawa na kusema processor yako inauwezo wa 9.6GHz.

Yan processor za namna hii huwa kwenye simu zenye uwezo mkubwa sana na simu za namna hii huwa nauwezo wa kufanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja na simu za namna hii huwekewa uwezo mkubwa wa battery kwaajili ya uwezo wake. Simu zenye processor za namna hii ni kama vile Samsung galaxy A8, note 8, Galaxy j7 pro n.k.


Kwa kumaliza

Kwa wale ambao simu zao zina stack stack hebu kwa mara nyingine Unapoenda kununua simu hebu jaribu kuangalia specification za simu hyo mara nyingi huwa zimeandikwa kwenye boxi lake au kama utakosa basi waweza tembelea site ya GSM Arena kwaajili yakuangalia specification ya simu hyo unayotaka kununua

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk

Print this item

  Watch "Watch highlights zote man city vs man united" on YouTube
User Avatar Forum: Michezo
Posted by: Imanuel kessy - 04-08-2018, 08:21 AM - No Replies

https://youtu.be/ykOKq-2VuHE

Sent from my TECNO_W4 using Tapatalk


Hii game ilikuwa ya miujiza aise

Sent from my TECNO_W4 using Tapatalk

Print this item