No new announcemente


  Kwa waliotuma maombi Ngorongoro conservation (NCAA)
User Avatar Forum: ajira,kazi na tenda
Posted by: Robot - 01-21-2018, 09:20 AM - Replies (1)

Uzi maalum kwa wale walio fanikiwa kutuma maombi yao kwa (NCAA). 
Hadi hivi sasa wameshatuma msg kwa baadhi ya watu kuwajuza kupokelewa kwa application zao.
Hivyo kwa lolote jipya hapa ndipo mahala pake pa kujuzana yanayojiri kadri muda uendavyo.

Print this item

  How to Create a VPN Server on Your Windows Computer Without Installing Any Software
User Avatar Forum: Technology
Posted by: dau1996 - 01-21-2018, 12:40 AM - Replies (2)

How to Create a VPN Server on Your Windows Computer Without Installing Any Software https://t.co/Rg2xckeO3VAttached Files Thumbnail(s)
   
Print this item

Big Grin Tecno waja na mzigo mpya Canon CM
User Avatar Forum: Technology
Posted by: dau1996 - 01-21-2018, 12:27 AM - Replies (4)

 Tetesi zilizo mitaani na mitandaoni ni ujio wa simu mpya ya Tecno Canon CM, japo simu haijazinduliwa rasmi lakini kwa upande wa kurasa za kampuni ya Tecno wameanza kuonesha hii simu.
Smatskills tumekuandalia uchambuzi wake hapa
[/url][img=0x0]https://4.bp.blogspot.com/-DVjpH7aH5Ik/WmLIbC3QHuI/AAAAAAAAFmY/nYDBcVNkYY8285427EFD7OpPJbEzyCYPACLcBGAs/s320/sketch-1516422735944.png[/img]

  Huu ni mwendelezo wa familia ya C[CANON] kutoka tecno, familia inasifika sana kwa upande wa kamera, hii itakuwa kali kuliko Canon CX? wacha tuone sifa za mzigo huu.


[url=http://www.smatskills.com/IMG_APPYET///https://4.bp.blogspot.com/-QtPhLSqhvo0/WmLItPAIiZI/AAAAAAAAFmc/CXFzLPXh9kYog_Cp50XX-jQSKP4VK_cyQCLcBGAs/s320/sketch-1516422485833.png][img=0x0]https://4.bp.blogspot.com/-QtPhLSqhvo0/WmLItPAIiZI/AAAAAAAAFmc/CXFzLPXh9kYog_Cp50XX-jQSKP4VK_cyQCLcBGAs/s320/sketch-1516422485833.png[/img]
muonekano wa simu ya Tecno Canon CM


  SIFA NA UWEZO WA TECNO CANON CM

Model
Camon CM
Jumba lake
Chuma
Mfumo endeshi 
Android 7.0 Nougat ikiwa na HiOS 2.0
Prosesa
 Mediatek MT6737  Quad-core 1.25 GHz
Mtandao
2G/3G/4G
Kamera ya mbele
13 MP, ina LED flash
Kamera ya nyuma
13MP ikiwa na Flash
Diski uhifadhi 
16GB unawaza kuchomeka hadi 128GB
RAM
2GB
Miunganisho
GPS, WiFi, Bluetooth, USB 2.0
Uwezo wa betri
uwezo wa betri 3000 mAh 9V/2A hujichaji haraka pia 
Kioo
2.5D aina ya kioo  Gorilla Glass
GPU
Mali 860 GPU
Ukubwa wa Screen 
5.7 inchi FHD IPS Touchscreen
Upana 
720×1220 pixels
Sensa
Accelerometer, Proximity, and Compass Sensor, Temperature sensor
Alama ya kidole
Ipo kwa nyuma 
SIM kadi
Dual Micro SM CARDAttached Files Thumbnail(s)
   
Print this item

  TAARIFA MUHIMU KWA WATUMIAJI WA UC BROWSER
User Avatar Forum: Technology
Posted by: dau1996 - 01-21-2018, 12:12 AM - Replies (1)

MUHIMU : KWA WATUMIAJI WA UC BROWSER
      Uc Browser Imepata bugs Kidogo kwa Baadhi ya Simu Ambapo  imesababisha Yafuatayo.

>Browser Imepungua Kasi .
>Picha Hazionekani unapotumia Browser hio.

 TAFADHARI UNAOMBWA KU UPDATE UC BROWSER SASA ILI KUSULUHISHA TATIZO NA KUFURAHIA MAPYA YALIYOONGEZWA.
     Mapya:

>1. Uendelezaji wa UI wa jicho upya.

>2:Kadi za usanifu za horoscope na hali ya hewa, pia makundi mbalimbali ya habari yameongezwa kwenye ukurasa wa nyumbani.

>3.  No-buffering na Furahia immersive video unapoangalia! pia tazama video Na kuipakua hapo hapo  kumewezeshwa sasa.

>4. Upatikanaji rahisi wa kutafuta  katika  UC BROWSER .Attached Files Thumbnail(s)
   
Print this item

  YANGA SC
User Avatar Forum: Michezo
Posted by: agy - 01-20-2018, 10:51 PM - Replies (1)

YANGA INAKULA MATUNDA YAKE 

Moja ya vikosi vya Yanga SC vilivyowahi kutikisa anga la soka Tanzania na Afrika mashariki ni miaka miongo miwili nyuma,miaka ya 1993, 1994-1995 , 1998 na 1999 katika orodha ya majina ya vikosi hivyo ni lazima utaliona jina la beki kisiki Keneth Mkapa. 

Keneth Mkapa anakumbukwa sana kwa ubora wake kama mlinzi wa pembeni akishiriki vyema katika kikosi bora cha Yanga SC cha mwaka 1993 ligi ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati ( hivi sasa Kagame Cup ) kilichobeba kombe hilo nchini Uganda baada ya kuwalaza majogoo wa soka nchini Uganda Sports Club Villa kwa magoli 2-1 huku marehemu Saidi Mwamba Kizota akiibuka mfungaji bora wa mashindano , Mkapa mlinzi bora wa kushoto huku kinda ( wakati huo ) Edibily Lunyamila akisimama kama mchezaji bora chipukizi wa mashindano akiacha gumzo la aina yake. 

Kikosi kamili kilikuwa hivi ;
1. Steven Nemes/Rifat Said ( Marehemu )
2. Mwanamtwa Kihwelu
3. Keneth Mkapa
4. Willy Mtendamema
5. Issa Athuman ( Marehemu )
6. Method Mogella ( Marehemu )
7. Zamoyoni Mogella
8. Steven Mussa/Hamis Thobias ‘gagarino’ (wote ni Marehemu )
9. Said Mwamba ‘kizota’ ( Marehemu )
10. Mohamed Husein ’Chinga’
11. Edibily Jonas Lunyamila

-Willy Martin, 
-Rifat said, 
-Aboubakar salum "sure boy" 
-David Mwakalebela "MP" 

Keneth Mkapa , Lunyamila, Mmachinga na wengineo licha ya kustaafu soka zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini bado wameendelea kuwa na mchango mkubwa kwa klabu yao pendwa wakiipa sapoti katika mambo mbalimbali likiwemo la ushauri kiufundi na kusimamia maadili , desturi na tamaduni za klabu hiyo kwa wachezaji chipukizi na vijana ambao wana kiu ya kuitumikia klabu hiyo. 

Hivi sasa Yanga ipo katika mchakato wa kusaka vipaji kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 na wakongwe hawa ndio wanaendesha zoezi hili ili kupata vijana wenye vipaji sahihi, nidhamu binafsi na nidhamu ya mpira ambayo itawafanya kuitumikia vyema klabu hiyo. 

Mfumo huu wa kutumia magwiji wa klabu hiyo ambao walicheza kwa mafanikio ni kama Yanga inakula matunda yake yenyewe na kuimarisha ustawi wa klabu hiyo kimbinu, kiufundi, falsafa pia desturi. 

Vijana hao wadogo ambao watafaulu katika mchakato huo na kuelezwa vyema historia za watahini wao ni dhahiri hali hiyo itawapa mtaji mzuri wa kisaikolojia katika kujibidiisha ili kujaribu au kupita historia za wandamizi hao. 

Pichani chini ni Keneth Mkapa akiwafanyia usaili vijana wanaotaka kujiunga na Yanga kids.

Print this item

  cameroon
User Avatar Forum: Michezo
Posted by: agy - 01-20-2018, 10:30 PM - Replies (1)

#CHAN2018 Cameroon wanafungasha virago na kutolewa kwenye michuano baada ya kufungwa na Angola, hiki ni kipigo cha pili mfululizo kwa Cameroon. 

FT- Angola 1-0 Cameroon
#ZBC2

Print this item

  askari
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: agy - 01-20-2018, 10:19 PM - Replies (4)

Kamanda wa Polisi kanda maalumu Dar Es Salaam, SACP Lazaro Mbosasa amepiga matufuku Askari Polisi kusimamisha magari na kukimbilia kudao leseni kabla ya kumueleza dereva kosa lake. Mambosasa ameeleza kuwa Askari ana wajibu wa kumueleza dereva kosa lake kwanza kabla ya kumdai leseni. Pia ameonya tabia ya baadhi polisi kukimbilia kuandikia faini magari wanayokamata, bila hata kutoa onyo, wakati makosa mengine yanastahili onyo tu.

"Ni marufuku askari kumsimamisha dereva kuanza kumdai leseni, kabla ya kumueleza kosa lake. Akueleze kosa lako kwanza. Pia askari waache tabia ya kupiga faini kila kosa. Kuna makosa mengine yanahitaji onyo tu, sio kila kitu faini." Ameeleza Mambosasa.

Nini maoni yako??

Print this item

  Post error
User Avatar Forum: Habari na mada mbalimbali
Posted by: Robot - 01-20-2018, 06:13 PM - Replies (2)

Wakuu
Mimi sielewi kwanini siwezi kupost kwa kutumia tapatalk.
Naletewa huu ujumbe
[Image: d369d7737ccafa651bfc78d397d9c15e.jpg]
Tatizo litakuwa wapi???
??‍♂️?


Sent from my iPhone using Tapatalk

Print this item

  Elimu
User Avatar Forum: Burudani
Posted by: Mtei Clemency - 01-20-2018, 05:16 PM - Replies (3)

4) Demu anaetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye always she is there for you yani hata km anawengine ucjali na usitake kujua ila ukimtaka unampata na sometimes anakutafuta wewe BABY I MISS YOU?? mpe pesa hata km hajaomba????? Mwanamke ambaye hawezi kukwambia baby nina hamu na wewe na akauliza lini upo free nije na akaja

Mwanamke ambaye ukimuonesha kuwa unamuhitaji Kwa sex sababu haziishi MFANYE AWE RFK COZ HAKUFAI HUYO yupo na we kwasababu ya PESA Na c kingine
NI SOMO RAHISI LISILO HITAJI HATA TUTION.

Print this item

  UWOYA NA DOGOJANJA
User Avatar Forum: Ubuyu mpya mjini
Posted by: agy - 01-20-2018, 04:11 PM - Replies (5)

Mama Irene Uwoya amtapika Dogo Janja !! Asema yeye Kama mzazi hajui na wala hakushirikishwa kwa kinachoitwa Ndoa ya Uwoya na Dogo Janja. Asema labda wanaigiza kazi zao za Sanaa 

"hakuna ndoa ambayo wazazi hawashirikishwi. Ndoa yoyote lazima wazazi wahusishwe na kushiriki, Ninachofahamu Irene ni mjane, mumewe ambaye sisi tunamfahamu ndiye huyo ambaye amekwishafariki dunia(Ndikumana), Ninachojua mimi suala la kuoa au kuolewa, lazima wazazi wanashirikishwa kuanzia mwanzo hadi mwisho, kama tulivyoshiriki kwa mkwe wetu (Ndikumana)" Alisema Mama Uwoya baada ya kutafutwa na Globalpublishers

Mama Uwoya ambaye jina lake ni Naima alimalizia kwa kusema

“Irene ni mtu mzima, siwezi kumshikilia kwa chochote na hayo niseme tu kwamba ameamua kuyafanya mwenyewe. Kama yeye mwenyewe hajatupa taarifa kama kuna kitu kinaendelea, hatuwezi kumfuata na hatujui kama alishawahi kupewa talaka.Kwanza sisi wazazi wake siyo watu wa kwenda kwenye media (vyombo vya habari) na kusema hiki na hiki. Kama ingekuwa ni ndoa, mngeiona, mbona ndoa yake ile ya kwanza ya halali mliishuhudia kila kitu na mlituona? Hii ya sasa hatuitambui. Tunachojua mwanetu ni mjane. Kama ana ndoa, anaijua yeye, sisi hatuamini na wala hatumtambui huyo mtu anayeitwa Dogo Janja. Labda wanaigiza" Aliiambia Globalpublishers 

Hadi hapo inaonekana ni Kiki za Uwoya na Dogo Janja kwasababu hata Mzee Pancras Uwoya siku chache zilizopita alipoulizwa na Mwanaspoti alikana kuifahamu ndoa ya a Uwoya na Dogo Janja kwa kusema hajawahi kuambiwa chochote na Irene

Print this item