tuzungumze
UWOYA NA DOGOJANJA - Printable Version

+- tuzungumze (http://tuzungumze.com)
+-- Forum: TUZUNGUMZE KINGDOM SOCIAL FORUMS (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=24)
+--- Forum: Ubuyu mpya mjini (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=27)
+--- Thread: UWOYA NA DOGOJANJA (/showthread.php?tid=13)UWOYA NA DOGOJANJA - agy - 01-20-2018

Mama Irene Uwoya amtapika Dogo Janja !! Asema yeye Kama mzazi hajui na wala hakushirikishwa kwa kinachoitwa Ndoa ya Uwoya na Dogo Janja. Asema labda wanaigiza kazi zao za Sanaa 

"hakuna ndoa ambayo wazazi hawashirikishwi. Ndoa yoyote lazima wazazi wahusishwe na kushiriki, Ninachofahamu Irene ni mjane, mumewe ambaye sisi tunamfahamu ndiye huyo ambaye amekwishafariki dunia(Ndikumana), Ninachojua mimi suala la kuoa au kuolewa, lazima wazazi wanashirikishwa kuanzia mwanzo hadi mwisho, kama tulivyoshiriki kwa mkwe wetu (Ndikumana)" Alisema Mama Uwoya baada ya kutafutwa na Globalpublishers

Mama Uwoya ambaye jina lake ni Naima alimalizia kwa kusema

“Irene ni mtu mzima, siwezi kumshikilia kwa chochote na hayo niseme tu kwamba ameamua kuyafanya mwenyewe. Kama yeye mwenyewe hajatupa taarifa kama kuna kitu kinaendelea, hatuwezi kumfuata na hatujui kama alishawahi kupewa talaka.Kwanza sisi wazazi wake siyo watu wa kwenda kwenye media (vyombo vya habari) na kusema hiki na hiki. Kama ingekuwa ni ndoa, mngeiona, mbona ndoa yake ile ya kwanza ya halali mliishuhudia kila kitu na mlituona? Hii ya sasa hatuitambui. Tunachojua mwanetu ni mjane. Kama ana ndoa, anaijua yeye, sisi hatuamini na wala hatumtambui huyo mtu anayeitwa Dogo Janja. Labda wanaigiza" Aliiambia Globalpublishers 

Hadi hapo inaonekana ni Kiki za Uwoya na Dogo Janja kwasababu hata Mzee Pancras Uwoya siku chache zilizopita alipoulizwa na Mwanaspoti alikana kuifahamu ndoa ya a Uwoya na Dogo Janja kwa kusema hajawahi kuambiwa chochote na Irene

RE: UWOYA NA DOGOJANJA - psiteshio - 01-20-2018

Maagizo yenye mwisho mfupi

RE: UWOYA NA DOGOJANJA - Robot - 01-20-2018

(01-20-2018, 04:11 PM)agy Wrote: Mama Irene Uwoya amtapika Dogo Janja !! Asema yeye Kama mzazi hajui na wala hakushirikishwa kwa kinachoitwa Ndoa ya Uwoya na Dogo Janja. Asema labda wanaigiza kazi zao za Sanaa 

"hakuna ndoa ambayo wazazi hawashirikishwi. Ndoa yoyote lazima wazazi wahusishwe na kushiriki, Ninachofahamu Irene ni mjane, mumewe ambaye sisi tunamfahamu ndiye huyo ambaye amekwishafariki dunia(Ndikumana), Ninachojua mimi suala la kuoa au kuolewa, lazima wazazi wanashirikishwa kuanzia mwanzo hadi mwisho, kama tulivyoshiriki kwa mkwe wetu (Ndikumana)" Alisema Mama Uwoya baada ya kutafutwa na Globalpublishers

Mama Uwoya ambaye jina lake ni Naima alimalizia kwa kusema

“Irene ni mtu mzima, siwezi kumshikilia kwa chochote na hayo niseme tu kwamba ameamua kuyafanya mwenyewe. Kama yeye mwenyewe hajatupa taarifa kama kuna kitu kinaendelea, hatuwezi kumfuata na hatujui kama alishawahi kupewa talaka.Kwanza sisi wazazi wake siyo watu wa kwenda kwenye media (vyombo vya habari) na kusema hiki na hiki. Kama ingekuwa ni ndoa, mngeiona, mbona ndoa yake ile ya kwanza ya halali mliishuhudia kila kitu na mlituona? Hii ya sasa hatuitambui. Tunachojua mwanetu ni mjane. Kama ana ndoa, anaijua yeye, sisi hatuamini na wala hatumtambui huyo mtu anayeitwa Dogo Janja. Labda wanaigiza" Aliiambia Globalpublishers 

Hadi hapo inaonekana ni Kiki za Uwoya na Dogo Janja kwasababu hata Mzee Pancras Uwoya siku chache zilizopita alipoulizwa na Mwanaspoti alikana kuifahamu ndoa ya a Uwoya na Dogo Janja kwa kusema hajawahi kuambiwa chochote na Irene

??‍♂️??‍♂️??‍♂️??‍♂️??‍♂️RE: UWOYA NA DOGOJANJA - brain cracker - 01-21-2018

Mh napita

RE: UWOYA NA DOGOJANJA - Rover1 - 01-21-2018

Huo ni muendelezo wa filam tu, wenyewe ni wasanii, kwa hiyo kila kitu ni usanii

RE: UWOYA NA DOGOJANJA - agy - 01-23-2018

(01-21-2018, 11:14 AM)brain cracker Wrote: Mh napita

Unapita kwenda wapi?