tuzungumze
Elimu - Printable Version

+- tuzungumze (http://tuzungumze.com)
+-- Forum: SPORTS AND ENTERTAINMENT (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=17)
+--- Forum: Burudani (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=19)
+--- Thread: Elimu (/showthread.php?tid=14)Elimu - Mtei Clemency - 01-20-2018

4) Demu anaetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye always she is there for you yani hata km anawengine ucjali na usitake kujua ila ukimtaka unampata na sometimes anakutafuta wewe BABY I MISS YOU?? mpe pesa hata km hajaomba????? Mwanamke ambaye hawezi kukwambia baby nina hamu na wewe na akauliza lini upo free nije na akaja

Mwanamke ambaye ukimuonesha kuwa unamuhitaji Kwa sex sababu haziishi MFANYE AWE RFK COZ HAKUFAI HUYO yupo na we kwasababu ya PESA Na c kingine
NI SOMO RAHISI LISILO HITAJI HATA TUTION.


RE: Elimu - Rover1 - 01-20-2018

Ngumu kumeza hii wakina dada


RE: Elimu - psiteshio - 01-21-2018

Watakula walipopeleka Mboga,pesa ufanye kazi .
Weww unataka kupewa tuui na wakati hutoi imetoka wap hyo???manawake wamefanya wanaume miradi...


RE: Elimu - agy - 01-23-2018

(01-20-2018, 06:56 PM)Chuma Wrote: Ngumu kumeza hii wakina dada

Haina ugumu wowote Inamezeka km ugali kwa mlenda

(01-21-2018, 01:32 AM)psiteshio Wrote: Watakula walipopeleka Mboga,pesa ufanye kazi .
Weww unataka kupewa tuui na wakati hutoi imetoka wap hyo???manawake wamefanya wanaume miradi...

Haaahaahaaa....we bwana weee....kutoa ni moyo ujue...