tuzungumze
Kwa waliotuma maombi Ngorongoro conservation (NCAA) - Printable Version

+- tuzungumze (http://tuzungumze.com)
+-- Forum: TANZANIA GENERAL FORUMS (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: ajira,kazi na tenda (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=8)
+--- Thread: Kwa waliotuma maombi Ngorongoro conservation (NCAA) (/showthread.php?tid=23)Kwa waliotuma maombi Ngorongoro conservation (NCAA) - Robot - 01-21-2018

Uzi maalum kwa wale walio fanikiwa kutuma maombi yao kwa (NCAA). 
Hadi hivi sasa wameshatuma msg kwa baadhi ya watu kuwajuza kupokelewa kwa application zao.
Hivyo kwa lolote jipya hapa ndipo mahala pake pa kujuzana yanayojiri kadri muda uendavyo.


RE: Kwa waliotuma maombi Ngorongoro conservation (NCAA) - geologist - 01-21-2018

Nimeitwa kwenye interview