tuzungumze
swalah ya jamaa - Printable Version

+- tuzungumze (http://tuzungumze.com)
+-- Forum: GENERAL FORUMS (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Dini (http://tuzungumze.com/forumdisplay.php?fid=9)
+--- Thread: swalah ya jamaa (/showthread.php?tid=2324)swalah ya jamaa - fatmaa - 11-09-2018

https://www.youtube.com/watch?list=PLZhKjUp3yECXKcteEDsZQcbPhwsieamqd&v=xtpc6SNKWag
Hadithi iliyopokewa na Abu Hurarah t kwamba Mtume ﷺ alisema: (Swala nzito zaidi kwa wanafiki ni Swala ya Isha na Swala ya Alfajiri. Na lau wao walijua Yaliyomo kwenye Swala mbili hizo, wangaliziendea japo kwa kujikokota [ Habwan: kujikokota kwa kitako.]. Na mimi nilidhamiria kutoa amri Swala kukimiwa, kisha nimuamrishe mtu awaswalishe watu, kisha nitoke na watu wakiwa na matita ya kuni niwaendee wale watu wasiohudhuria Swala niwachomee nyumba zao kwa moto) [ Imepokewa na Bukhari na Muslim.].
https://www.al-feqh.com/sw/swala-ya-jamaa