Search found 5 matches

by Singa
Sat Jan 16, 2021 4:49 pm
Forum: Kijiwe cha Habari na Mada mbalimbali
Topic: Tanzania yapigia debe utaratibu wa mafunzo ya kilimo, mifugo kwa vijana
Replies: 0
Views: 495

Tanzania yapigia debe utaratibu wa mafunzo ya kilimo, mifugo kwa vijana

Serikali ya Tanzania imeombwa kuandaa utaratibu wa kutoa mafunzo ya kilimo na ufugaji kwa wanafunzi wa vyuo, ili kuwaandaa kujiajiri wenyewe wanapohitimu masomo yao. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Glaring Future Foundation (GFF), Mhandisi Aisha Msantu, alisema kuna umuhimu wa ...
by Singa
Sat Jan 16, 2021 4:47 pm
Forum: Kijiwe cha Habari na Mada mbalimbali
Topic: China kubadilisha hekta milioni 6.7 za ardhi yenye chumvi na alkali kuwa mashamba ya mpunga
Replies: 0
Views: 276

China kubadilisha hekta milioni 6.7 za ardhi yenye chumvi na alkali kuwa mashamba ya mpunga

Timu ya mtaalamu maarufu wa kilimo wa China Yuan Longping leo imetangaza kuwa, inapanga kulima mpunga unaoweza kuvumilia chumvi na alkali katika hekta milioni 6.7 za ardhi yenye chumvi na alkali nchini China katika miaka 8 hadi 10 ijayo. Timu hiyo imesema imesaini mkataba wa kuendeleza ardhi ya hekt...
by Singa
Sat Jan 16, 2021 4:34 pm
Forum: International forum
Topic: How do you compare Kenya to Tanzania?
Replies: 0
Views: 460

How do you compare Kenya to Tanzania?

I have only been to Kenya for about a week and Tanzania for 2 years. After being in Tanzania for a while and I crossed over to Kenya and into Nairobi I was amazed at how much more developed it was than Tanzania. The buildings were actual buildings and not shacks with aluminum roofing. The chicken in...
by Singa
Thu Jan 07, 2021 10:16 am
Forum: Michezo
Topic: KOCHA WA LIVERPOOL (KLOPP) AWAJIBU WANAOSEMA KUA SALLAH HANAFURAHA LIVERPOOL:
Replies: 1
Views: 2710

Re: KOCHA WA LIVERPOOL (KLOPP) AWAJIBU WANAOSEMA KUA SALLAH HANAFURAHA LIVERPOOL:

Salah ameshachoka hana maajabu kabisa huyo, nadhan Sadio Mane ndio hatari zaidi kuliko salah