Search found 2 matches

by kanonko23
Thu Jan 07, 2021 7:28 am
Forum: Michezo
Topic: KOCHA WA LIVERPOOL (KLOPP) AWAJIBU WANAOSEMA KUA SALLAH HANAFURAHA LIVERPOOL:
Replies: 1
Views: 2710

KOCHA WA LIVERPOOL (KLOPP) AWAJIBU WANAOSEMA KUA SALLAH HANAFURAHA LIVERPOOL:

Kama ulidhani Mohammed Salah kwasasa hana furaha Liverpool, basi unajidanganya na haiko hivyo, Kocha wa Majogoo hao wa Jiji la Liverpool, Jurgen klopp amezipiga chini taarifa hizo alizoziita ni uzushi. “Salah ana furaha, hilo ndilo jambo muhimu kwasasa, hatukupiga picha tukiwa mazoezini, ila umeona ...
by kanonko23
Thu Jan 07, 2021 6:56 am
Forum: Burudani
Topic: MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:
Replies: 2
Views: 650

MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Jua Kali ni Tamthilia mpya itakayoanza kuoneshwa hivi karibuni kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV iliyohusishwa mastaa mbalimbali akiwemo Mimi Mars, TID, Mshereheshaji Gara B, Quick Rocka, Dorah, Romy Jons na wengineo wengi watashiriki katika tamthilia hio hii ni kwa mujibu wa muandaaji wa tamt...