No new announcemente


JOKATE MWEGELO
  • 24 Vote(s) - 2.42 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Jokate ambaye alizaliwa nchini Marekani na kutokea katika familia ya kisomi amesema kamwe wazazi wake hawakumkataza kuingia kwenye mashindano ya urembo na Sanaa badala yake walimpa sapoti Nzuri kwasababu wanajua kuwa Sanaa ni lazi na taaluma Kama zilivyo taaluma nyingine. Amesema wazazi wake walimkumbusha Tu kuwa asisahau kusoma kwa bidii kitu ambacho ametimiza. Aidha, Jokate amesema umisi na Sanaa vimempa fursa kubwa ambazo asingeweza kuzipata Kama asingeingia kwenye fani hizo[Image: b94c033e47baa5c2e63cf3f46a961dfd.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply
#2
Mbona haolewi tu huyu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Reply
#3
Ukimuoa itapendeza zaidi
Reply
#4
(01-26-2018, 12:18 PM)agy Wrote: Ukimuoa itapendeza zaidi


Uyu ujuaji mwingi, siwezi oa mjuaji


Sent from my iPhone using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)