No new announcemente

askari
  • 5 Vote(s) - 3.2 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Kamanda wa Polisi kanda maalumu Dar Es Salaam, SACP Lazaro Mbosasa amepiga matufuku Askari Polisi kusimamisha magari na kukimbilia kudao leseni kabla ya kumueleza dereva kosa lake. Mambosasa ameeleza kuwa Askari ana wajibu wa kumueleza dereva kosa lake kwanza kabla ya kumdai leseni. Pia ameonya tabia ya baadhi polisi kukimbilia kuandikia faini magari wanayokamata, bila hata kutoa onyo, wakati makosa mengine yanastahili onyo tu.

"Ni marufuku askari kumsimamisha dereva kuanza kumdai leseni, kabla ya kumueleza kosa lake. Akueleze kosa lako kwanza. Pia askari waache tabia ya kupiga faini kila kosa. Kuna makosa mengine yanahitaji onyo tu, sio kila kitu faini." Ameeleza Mambosasa.

Nini maoni yako??
Reply
#2
Saaafi saana,maana huku tochi zimezidi mpaka ninebadili njia,huwa napita vichochoron mara gari ipate hitilafu huko mabonde+mashimo
Reply
#3
(01-21-2018, 01:24 AM)psiteshio Wrote: Saaafi saana,maana huku tochi zimezidi mpaka ninebadili njia,huwa napita vichochoron mara gari ipate hitilafu huko mabonde+mashimo

Polee thaana
Reply
#4
(01-20-2018, 10:19 PM)agy Wrote: Kamanda wa Polisi kanda maalumu Dar Es Salaam, SACP Lazaro Mbosasa amepiga matufuku Askari Polisi kusimamisha magari na kukimbilia kudao leseni kabla ya kumueleza dereva kosa lake. Mambosasa ameeleza kuwa Askari ana wajibu wa kumueleza dereva kosa lake kwanza kabla ya kumdai leseni. Pia ameonya tabia ya baadhi polisi kukimbilia kuandikia faini magari wanayokamata, bila hata kutoa onyo, wakati makosa mengine yanastahili onyo tu.

"Ni marufuku askari kumsimamisha dereva kuanza kumdai leseni, kabla ya kumueleza kosa lake. Akueleze kosa lako kwanza. Pia askari waache tabia ya kupiga faini kila kosa. Kuna makosa mengine yanahitaji onyo tu, sio kila kitu faini." Ameeleza Mambosasa.

Nini maoni yako??

askari uchwara  Angry Angry
Reply
#5

Atoe na ufafanuzi kuhusu vivuko vya waenda kwa miguu(zebra crossing), hii kitu kwa sasa ni kero sana hasa kwa mijini, magari yanatakiwa yasimame tu hata kama hakuna mtu anaevuka, na ukipita bila kusimama mbele unapigwa faini, huku ni kuweka misongamano barabarani tu bila kujali.
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)