No new announcemente


KUMBE WENGER SIO BAHILI
  • 14 Vote(s) - 2.5 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Kocha wa Arsenal FC, Arsene Wenge amewashangaza waliokuwa wanadai kuwa ni bahili kwa kuuingia mkataba na Metsut Ozil utakaomfanya mchezaji hiyo kuwa wa pili katika orodha ya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa katika ligi kuu ya Barclays ya Uingereza.

Ozil atakuwa analipwa £300,000 kwa wiki kwa muda wote wa mkataba wake wa miaka mitatu na nusu. Kwa sasa mchezaji anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa katika ligi hiyo ni Alexis Sanchez ambaye amesajiliwa na Manchester Uniited kutoka Arsenal FC.

Sanchez anakunja kiasi cha £350,000 kwa wiki akifuatiwa na Paul Progba anayelipwa £290,000..[Image: 3bf3361a36661ab70f80acb759cc7232.jpg]
Reply
#2
Bahili huyooo sawa na ule nyama siku 1

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply
#3
Tulia tuonee
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)