No new announcemente


Nafasi tatu za kazi @ DANGOTE
  • 10 Vote(s) - 2.8 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Habari za asubuhi wapendwa!
Kampuni yetu inahitaji Production engineers,Chemical Processing na Metallurgical engineers wenye digrii au diploma.

Tafadhali kama unandugu au jamaa mjulishe na atume CV kwa emmanuel.tesha@Dangote.com
Akiwa amemaliza chuo mwaka jana itapendeza sana.
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)