No new announcemente


Tecno waja na mzigo mpya Canon CM
  • 21 Vote(s) - 3.1 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Big Grin 
 Tetesi zilizo mitaani na mitandaoni ni ujio wa simu mpya ya Tecno Canon CM, japo simu haijazinduliwa rasmi lakini kwa upande wa kurasa za kampuni ya Tecno wameanza kuonesha hii simu.
Smatskills tumekuandalia uchambuzi wake hapa
[/url][img=0x0]https://4.bp.blogspot.com/-DVjpH7aH5Ik/WmLIbC3QHuI/AAAAAAAAFmY/nYDBcVNkYY8285427EFD7OpPJbEzyCYPACLcBGAs/s320/sketch-1516422735944.png[/img]

  Huu ni mwendelezo wa familia ya C[CANON] kutoka tecno, familia inasifika sana kwa upande wa kamera, hii itakuwa kali kuliko Canon CX? wacha tuone sifa za mzigo huu.


[url=http://www.smatskills.com/IMG_APPYET///https://4.bp.blogspot.com/-QtPhLSqhvo0/WmLItPAIiZI/AAAAAAAAFmc/CXFzLPXh9kYog_Cp50XX-jQSKP4VK_cyQCLcBGAs/s320/sketch-1516422485833.png][img=0x0]https://4.bp.blogspot.com/-QtPhLSqhvo0/WmLItPAIiZI/AAAAAAAAFmc/CXFzLPXh9kYog_Cp50XX-jQSKP4VK_cyQCLcBGAs/s320/sketch-1516422485833.png[/img]
muonekano wa simu ya Tecno Canon CM


  SIFA NA UWEZO WA TECNO CANON CM

Model
Camon CM
Jumba lake
Chuma
Mfumo endeshi 
Android 7.0 Nougat ikiwa na HiOS 2.0
Prosesa
 Mediatek MT6737  Quad-core 1.25 GHz
Mtandao
2G/3G/4G
Kamera ya mbele
13 MP, ina LED flash
Kamera ya nyuma
13MP ikiwa na Flash
Diski uhifadhi 
16GB unawaza kuchomeka hadi 128GB
RAM
2GB
Miunganisho
GPS, WiFi, Bluetooth, USB 2.0
Uwezo wa betri
uwezo wa betri 3000 mAh 9V/2A hujichaji haraka pia 
Kioo
2.5D aina ya kioo  Gorilla Glass
GPU
Mali 860 GPU
Ukubwa wa Screen 
5.7 inchi FHD IPS Touchscreen
Upana 
720×1220 pixels
Sensa
Accelerometer, Proximity, and Compass Sensor, Temperature sensor
Alama ya kidole
Ipo kwa nyuma 
SIM kadi
Dual Micro SM CARD


Attached Files Image(s)
   
Reply
#2
Simu saafi saaana hizi kwaxwatumiaji wageni na wenyekipato kidgo
Reply
#3
(01-21-2018, 01:36 AM)psiteshio Wrote: Simu saafi saaana hizi kwaxwatumiaji wageni na wenyekipato kidgo
sizikubali
Reply
#4
Sitakuja kupenda hizi simu bora Motolola na LG lakini sio Techno werevaaa
Reply
#5
Uchumi wetu ndio unatufanya tutumie
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)