No new announcemente


kufunga siku mbili – jumatatu na alhamisi katika kila wiki.
  • 4 Vote(s) - 3 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
kufunga siku mbili – jumatatu na alhamisi katika kila wiki.
Kama ilivyopokewa kutoka kwa Abu Hureira t kwamba Mtume ﷺ amesema: “Hupandishwa matendo (juu kwenda mbinguni) kila jumatatu na alhamisi, basi napenda matendo yangu yapandishwe hali ya kuwa nimefunga” [Imepokewa na Tirmidhi.]
https://www.al-feqh.com/sw/saumu-funga-za-sunnah
fiqhi sahihi
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)