Makombo yaliyo najisi
  • 7 Vote(s) - 2.86 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Makombo yaliyo najisi
a. Makombo ya mbwa
Kwa kauli yake Mtume ﷺ Kutwahirisha kwa chombo cha mmoja wenu, kikirambwa na mbwa, ni akioshe mara saba, ya kwanza yake iwe kwa mchanga [Imepokewa na Bukhari na Muslim].

b. Makombo ya nguruwe
Makombo ya nguruwe ni najisi kwa neno lake mwenyezi mugnu au nyama ya nguruwe kwani hiyo ni uchmfu} [6: 145].

Yaani najisi, nachochoe kinacho tokama na nguruwe ni najisi
fiqhi sahihi
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)