No new announcemente


WAPINZANI WA YANGA WAKATIZA MWENGE
  • 8 Vote(s) - 3.5 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
WAPINZANI WA YANGA WAANZA KUYAZOEA MAZINGIRA YA DAR, WAKATIZA MWENGE "KUCHEKI" KITUMBA NA BIDHAA NYINGINE

Wapinzani wa Yanga, mabingwa wa Shesheli tayari wako jijini Dar es Salaam kufanya maandalizi ya mwisho na wameonekana maeneo ya Mwenge wakipiga misele ikiwa ni pamoja na “kucheki” mitumba na bidhaa nyingine kidogo.

Yanga itashuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwavaa mabingwa wa Shelisheli, St Louis.

St Louis tayari wako jijini Dar es Salaam kuivaa Yanga katika mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha wao, amesema wanataka kuzoea mazingira na hali ya hewa na leo wameonekana wakiwa katika harakati hizo katika mitaa ya Mwenge jijini Dar es Salaam.    
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)