No new announcemente


AY AFUNGA NDOA
  • 7 Vote(s) - 2.86 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
AY amefunga ndoa jana Jumamosi na mpenzi wake Remy katika hotel Golden Tulip nchini Rwanda. Harusi hiyo ilikuwa private sana kwa mwaliko maalum kwa watu wachache wakiwemo kutoka Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania waliohudhuria ni Sallam Sk meneja wa Diamond ambaye hufanya kazi na AY, MwanaFA, B12
.
Bado haijajukikana Kama AY atafanya sherehe nyingine kwa upande wa Tanzania ambapo anajulikana kwa kutopenda maisha yake binafsi kuwa kwenye vyombo vya habari    
Reply
#2
Kwanini Rwanda?na sio Tz?au kuna namna???au vepeeee

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply
#3
Bi harusi ni Wa rwanda
Reply
#4
Huyu jamaa namkubali sana, sio mtu wa kujikweeeza, yeye huwa kimya kimya sana
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)