No new announcemente


WAZANZIBAR 40 ELFU WAISHTAKI TANGANYIKA
  • 11 Vote(s) - 3 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ) wakihoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kesi hiyo imefunguliwa ktk Masijala ya Mahakama hiyo iliyoko Dar na Rashid Adiy kwa niaba ya wenzake 39,999.

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeingia kwenye jaribio jingine, baada ya Wazanzibari 40,000 kufungua kesi Mahakamani kupinga uhalali wake.

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeingia kwenye jaribio jingine, baada ya Wazanzibari 40,000 kufungua kesi mahakamani kupinga uhalali wake.

Kesi hiyo ilifunguliwa jana katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) na Rashid Salum Adiy kwa niaba ya wenzake 39,999, katika Masijala ndogo ya mahakama hiyo iliyoko jijini Dar es Salaam.

Wadaiwa katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania    
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)