No new announcemente


Wasafi tv&radio
  • 7 Vote(s) - 2.43 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Diamond aitambulisha wasafi tv & radio Zanzibar.
Msanii maarufu nchini wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Nasib au Diamond amesema lengo la kuanzisha vituo hivyo ni kutoa ajira kwa vijana hasa waandishi na watangazaji ambapo amewataka kuitumia fursa hiyo itakayowasaidia katika kuondokana na tatizo la ajira linaloikabili Tanzania.


Attached Files Image(s)
   
Reply
#2
fursa hizooo
Reply
#3
Watu wapewe kazi,mimi niwe meneja tu nipige mihela,hela zimejaa hapo miingi saaana.................

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)