No new announcemente


MSANII YOUNG GHOST ASEMA
  • 4 Vote(s) - 2.25 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Mwanamuziki asie ishiwa kiki Young ghost amefunguka na kuelezea video ya utupu ya bilnass na mwenzie nandy kuwa haina maadili na wanafaa wahukumiwe hata maisha jela.

Msanii huyo pia amemuomba msanii bilnass asije akamsalimia kwa kumpa mkono kwani bado ana uchafu wa nandy.

Kwa jinsi bilnass alivyokuwa akimchezea nandy vile akha mungu asije akanisalimia kwa kunipa mikono na pia nafikiri serikali haitaweza kukaa kimya kuhusu swala hili.

Pia young ghost alipoulizwa kuhusu ukimya wake muda mrefu amedai mashabiki wake wakae mkao wa kula muda sio mrefu atadondosha nyimbo ambayo amedai itakuja kutingisha taifa[Image: 4aefbf1395560c554edec5d848e55e4a.jpg]

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply
#2
Huyo kweli ghost!!
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)