No new announcemente


MONALISA ATWAA TUZO
  • 3 Vote(s) - 2.67 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Best Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika.

Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Accra huko nchini Ghana.

Muigizaji huyo maarufu wa filamu nchini, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo hiyo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika zilizofanyika usiku wa kuamkia leo mjini Accra, Ghana.

Tanzania imewakilishwa vyema katika tuzo za African Prestigious Awards zilizofanyika jana Accra, Ghana, baada ya mwanadada Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa kushinda kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika.

Monalisa alimbwaga mpinzani wake wa kartibu Lupita Nyong'o.        

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)