No new announcemente


MWANAMUZIKI MKENYA
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Mwanamuziki wa Kenya, Maureen Otiu(Lady Maureen) aliyefikishwa Mahakamani akiwa Tanzania kwa kuingia kinyemela asema kikwazo cha lugha kilisababisha ahukumiwe.

Baada ya kuachiwa kwa dhamana adai "Kiswahili cha Tanzania hakieleweki kirahisi".    

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply
#2
Ina maana kiswahili ndio kilisababisha aingie nchini bila kibali?


Sent from my iPhone using Tapatalk
Reply
#3
Haaha haha kavurugwa huyu

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)