No new announcemente


HARUSI YA KIBA
  • 6 Vote(s) - 3.17 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Mkurugenzi wa Huduma za Masoko wa Benki Kuu (BoT), Alexander Mwinamira, ameyataka mashirika na taasisi binafsi za kifedha kuwasaidia wajasiriamali wadogo ili kukuza uchumi wa nchi. Alexander amesema wajasiriamali wenye biashara ndogo ndogo huchangia asilimia 90 ya biashara zote zinazofanyika hapa nchini na asilimia 30 katika pato la Taifa.    

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)