No new announcemente


Bacteria waenezao magonjwa kwa kina mama na tiba zake
  • 14 Vote(s) - 2.86 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Mpendwa habari yako,tuko katika mada yetu hiyo juu ya bacteria waenezao maradhi kwa wakina mama na zake tiba,na pengine ukiingia ndani zaidi pindi unapo chambua makala hii ndipo utakutana na faida kedekede kwa yako afya.!
Maambukizi ya bacteria sehemu za siri za mwanamke ni moja ya magonjwa yanayojitokeza kwenye afya ya uzazi mara kwa mara,pamoja na kuwapo kwa msaada kutoka kwa wahuudu Wa afya,lakini hata mwanamke anaweza kujipa uduma mwenyewe za mwili akiwa hata nyumbani,Ili kukabiliana na tatizo lenyewe takwimu zinaonyesha mwanamke mmoja kati ya 10 wana maambukizi ya bakteria.baadhi yao hawaoni dalili zozote wakati tatizo hili linapowapata hadi pale linapodumu kwa muda mrefu ndipo wanaweza kuona dalili ya miwasho ukeni,kutokwa na ute mzito ukiambataba na harufu kali,kutokwa na ute mzito ukiambatanavna harufu kali
Baadhi ya dawa za kiantibayotiki zinasaidia kupunguza maradhi haya na hata wengine kupokupona,japo kuwa wengine tatizo hili hujirudia Mara kwa Mara hata baada ya kutumiacdawa

Leo nitaeleza wazi hatua za kuchukua ili kupambana na maambukizi haya,wasiliana na Herbalist Thobias Beda wa kituo chako bora MBOCHI HERBAL LIFE-MHL kwa tiba na ushauri,Ili kupunguza ukali wake ukushapata na hata kuzuia yasijirudie baada ya tiba,kwanza mgonjwa anapaswa kujua wakati upi ni sahii wa kumuona Dr,wajua ndani ya Uke kuna uwiano kati ya bakteria na fangasi,bakteria na fangasi hawavwaliopo ndanibndani ya uke hawana madhara kiafya kama wapo kwenye uwiano sawa

Lakini inapotokea idadi ya kundi moja linazidi linginevndipo maambukizivhayo huanza,Hata hivyo mtu anaweza kupona kwa kutumia baadhi ya mimea nasiyo antibayotiki,lakini piavunashauriwa kumuona Dr haraka kama ni mjamzito

Maambukizi haya wakati mwinginevni Ishara kuwa mimba inaharibika au unaweza kuzaa kabla ya wakati,kuzaa mtoto mwenyevuzito mdogo navmatatizo mengine ya uhauzito ,mpendwa ni hivi ni muhimu kumuina Dr kwa wakati pindi uonapo mstokeo asi kwenye wako mwili,kuliko kutumia dawa za kawaida kwa sababu haziwezi kuwa msaada stahiki kwa ambae atakuwa mjamzito
Tofauti na ujauzito pia unaweza kuonavishara ya maumivu makali wakati wa kukojoa,kutolwa damu wakati ambao haupo kwenye mZunguko wa hedhi (mp) na maumivu kwenye njia ya mkojo,Homa,maambukizi kujirudia hata baada yavkutumiacdawa,yanaweza juashiria kuwa tatizo ni kubwa zaidi

Ni vema mwanamke unaepata au kukumbwa na haya kuwai hospitali au kuwasiliana nasi kwa ushauri na tiba kupitia uduma zetu za simu hapo chini
Herbalist Thobias Beda
Simu- 0757349219
Utafiti wa kisayansi unathibitisha matumizibya baadhi ya njia za uzazi wa mpango mathalani ile ya kupachika kitanzi inachangia maambukizi hayo kutokana na utokwaji Wa damu ambayo Mara nyingi hufululiza kwa muda baada ya kuwekeqa kitanzi
Hivyo Dr anaweza kuamuru kutolewa kwa na kushauri utumie njia nyengine ya uzazi wa mpango ikiwamo njia za asili na itakayo kuwa ni tofauti na zakisasa

NB:Epuka kufanya ngono mara kwa mara na hasa kwenye njia ya haja kubwa kwa sababu kufanya hivyo unachanganya uchafu wa njia ya haja kubwa na wale bakteria asilia Wa ukeni
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)