No new announcemente


Siri kuu ya Biashara ijue leo
  • 10 Vote(s) - 2.9 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Naomba kwa kumalizia ukitaka kufanya biashara yenye ubora na inayokuwa kwa kasi Epuka
uvivu .....biblia inasema Marko 2:9 kwamba yesu alipo mponya yule kiwete alimwambia beba Godoro uende hii ina maana yesu avumilii watu wasio penda kaz ndo mana alimpatia yule wajibu Mara tu baada ya kupona wakristo tunauvivu mwingi sometimes na kuna changamoto wengi tumeshindwa kutofautisha uvivu na Imani wapo wakristo ni wavivu lakin wanijitia tumani kuwa wanaimani.
Epuka uvivu.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)