No new announcemente


Maana ya herufi ziandikwazo kwa plate number
  • 5 Vote(s) - 3.4 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
1. *NGAO* -Rais, makamu wa Rais na Waziri Mkuu

2. *S* -Spika wa bunge

3. *JM* - Jaji mkuu

4. *JR* - Jaji wa mahakama ya rufaa

5. *JK* - Jaji Kiongozi

6. *J* - Jaji wa mahakama kuu

7. *XXXX* -Mkuu wa majeshi(CDF)

8. *CAG* -Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali

9. *CS* - Katibu mkuu kiongozi

10. *W* mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata

11. *NW* -Naibu waziri

12. *DFP* -Donor's Fund project

13. *ST* -Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata

14. *SMZ* -Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

15. *PT* -Police of Tanzania

16. *SM* -Serikali za mitaa

17. *CD* - Magari ya ubalozini

18. *SU* -Shirika la Umma.

19. *JW* -Jeshi la Wananchi

20. *MT* -Magereza Tanzania

21. *CGP* -Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)

*NB* Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum

*NYONGEZA:*
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)