No new announcemente


AFUMANIWA AKIZINI NA MKE WA MWANAE
  • 7 Vote(s) - 2.71 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
UGANDA: Jeshi la Polisi linamshikilia, Hassan Chelimo(53) kwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtoto wake ambaye yuko safarini nchini Sudani Kusini.

Mwanaume huyo aliokolewa na Polisi kutoka kwenye mikono ya wanakijiji wenye hasira waliokuwa wakimpiga.
Reply
#2
Dah! Mzee kaamua kuonja mwanae anachofaidi, hii ndio shida ya kuoa mke na kumpeleka kukaa na wazazi.
Reply
#3
Dunia imeoza

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply
#4
Mzee nyege zibamsumbua au mganga kamtuma??

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply
#5
Genye hizo veepe?! Wanawake hukuwaona mpaka mkweo?!

Sent from my TECNO-Y3+ using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)