No new announcemente


Tommy Flavour kufanya kolabo na Ali Kiba
  • 4 Vote(s) - 3 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

#1
Msanii wa muziki Bongo, Tommy Flavour amefunguka kuhusu mipango ya kufanya kazi na Alikiba. 

Muimbaji huyo amesema kuwa wamekuwa na ukaribu wa kikazi na kuna uwezekano wa kufanya kolabo endapo nafasi ikitokea.

“Ukaribu wetu ni mkubwa, tunafanya kazi vizuri hatuna matatizo yeyote. Ninapohitaji msaada ninamwambia na yeye hivyo hivyo, kwa hiyo ndo the way tunavyofanya kazi,” amesema.

“Kwa hiyo watu wategemee vitu vikubwa kama tutafanya kazi kwa upande wa Alikiba lakini upande wa Ommy sitaki kusema mengi kwa sasa,” Tommy Flavour 

Tommy Flavour kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Do It ikiwa ni baada ya kufanya vizuri katika ngoma ‘Bounce’ aliyoshirikishwa na Vanessa Mdee.Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)