VIJIWE VYETU

 • Forum
  Topics
  Posts
  Last post
 • No unread posts Kijiwe cha Habari na Mada mbalimbali
  kijiwe hiki ni mahususi kwa hoja na habari mbalimbali. jenga hoja na shirikisha wanakijiwe na maswala mbalimbali yahusuyo jamii yetu na dunia kwa ujumla
  2 Topics
  2 Posts
  Last post Tanzania yapigia debe utarati…
  by Singa View the latest post
 • No unread posts Uwanja wa siasa
  Kijiwe kwa wapendao siasa chanya na zakujenga. hatuhitaji uchochezi, kosoa na sifia panapostahili.
  Tanzania yetu ni moja na maslahi ya taifa yanapaswa kuwa kipaumbele cha kila mtanzania. kunywa fundo la kahawa na tueleze yalio ya kweli
  0 Topics
  0 Posts
  No posts
 • No unread posts Uchumi,Biashara na Ujasiriamali
  kwa maswala yote yahusuyo biashara, uchumi na ujasiriamali hiki ndo kijiwe cha nyumbani. jenga hoja na changia mada ukiwa na kikombe cha kahawa pembeni ukifurahia ubora wa kahawa ya kilimanjaro ili kukuza uchumi wa nchi yetu
  0 Topics
  0 Posts
  No posts
 • No unread posts Kilimo na Ufugaji
  kilimo si ndo uti wa mgongo wa uchumi wetu, ufugaji si ndo miguu yenyewe basi uvuvi ndo mikono. kijwe mahususi kwa wakulima. kunywa kahawa ya bukoba ukifurahia ladha bora ya kahawa ya kitanzania
  0 Topics
  0 Posts
  No posts
 • No unread posts Ajira na Tenda mbalimbali
  je unatafuta ajira, unatoa ajira, je unauza tenda basi hapa ndo kijiwe hasa. tueleze tukujuze sharti ni moja tu kuwa na kikombe cha kahawa ya Songea ukisubiri majibu ya mada yako..
  0 Topics
  0 Posts
  No posts
 • No unread posts International forum
  International coffee center where we discuss international issues while drinking the best coffee from slope of mount Kilimanjaro in Tanzania.
  1 Topics
  1 Posts
  Last post How do you compare Kenya to …
  by Singa View the latest post
 • No unread posts Kijiwe cha ujenzi na Makazi
  Fursa kwa kila mtu anayehusika na tasnia ya ujenzi pamoja na wasanifu majengo, wakandarasi, wateja, wauzaji na mafundi. kijiwe hiki ni jukwaa muhimu ambapo kila mtu anaweza kuchangia kutokana na uzoefu wao wa vitendo kusaidia na kuwashauri wengine
  0 Topics
  0 Posts
  No posts
 • Active topics
  Replies
  Views
  Last post