Page 1 of 1

MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Posted: Thu Jan 07, 2021 6:56 am
by kanonko23
Jua Kali ni Tamthilia mpya itakayoanza kuoneshwa hivi karibuni kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV iliyohusishwa mastaa mbalimbali akiwemo Mimi Mars, TID, Mshereheshaji Gara B, Quick Rocka, Dorah, Romy Jons na wengineo wengi watashiriki katika tamthilia hio hii ni kwa mujibu wa muandaaji wa tamthilia hio aitwae LAMMATA.

"Jua Kali ni Tamthilia nzuri sana itakuwa inaoneshwa kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV kila msanii amebeba husika wake, tamthilia hiyo itakuwa inaoneshwa Jumatano saa tatu na nusu, Alhamisi na Ijumaa saa tatu na nusu"-LAMMATA

Re: MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Posted: Thu Jan 07, 2021 7:40 am
by Code 404
Can't wait nimuone Mimi Mars kwa mara nyingine
Kuna movie inaitwa YOU AGAIN asee alijua kuvaa uhusika

Re: MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Posted: Thu Jan 07, 2021 8:09 am
by Singa
Huo muda wa mafisi waipeleke weekend, Jmos