MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

kwa hoja zote za burudani na mengineyo yahusuyo burudani utazipata hapa..
Jipatie kikombe cha kahawa ya mbeya upate burudani muruwa ukijisomea na kuchangia mada mbalimbali
Post Reply
kanonko23
Posts: 2
Joined: Sun Jan 03, 2021 12:09 pm

MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Post by kanonko23 »

Jua Kali ni Tamthilia mpya itakayoanza kuoneshwa hivi karibuni kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV iliyohusishwa mastaa mbalimbali akiwemo Mimi Mars, TID, Mshereheshaji Gara B, Quick Rocka, Dorah, Romy Jons na wengineo wengi watashiriki katika tamthilia hio hii ni kwa mujibu wa muandaaji wa tamthilia hio aitwae LAMMATA.

"Jua Kali ni Tamthilia nzuri sana itakuwa inaoneshwa kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV kila msanii amebeba husika wake, tamthilia hiyo itakuwa inaoneshwa Jumatano saa tatu na nusu, Alhamisi na Ijumaa saa tatu na nusu"-LAMMATA
Attachments
GG.jpg
GG.jpg (149.9 KiB) Viewed 648 times
Code 404
Posts: 2
Joined: Sun Jan 03, 2021 10:56 am

Re: MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Post by Code 404 »

Can't wait nimuone Mimi Mars kwa mara nyingine
Kuna movie inaitwa YOU AGAIN asee alijua kuvaa uhusika
Singa
Posts: 5
Joined: Sat Jan 02, 2021 2:13 pm

Re: MASTAA QUICK ROCKA, MIMI MARS, LULU DIVA, NA TID Katika filamu moja inatwa jua kali:

Post by Singa »

Huo muda wa mafisi waipeleke weekend, Jmos
Post Reply